ULINDE MDUARA WAKO

[KAA NYUMBANI NA UOKOE MAISHA]

[UKWELI KUHUSU MDUARA WAKO]

Mtu wa kawaida anajua watu 600

Asilimia 2–4 ya watu wanaopata COVID-19 wataaga dunia

Hiyo inamaanisha watu 12-24 katika mduara wako wataaga duni wakiambukizwa

Six Feet Apart

UMBALI WA FUTI SITA
AU
UZIKWE KABURINI

[UKWELI]

Watu weusi na weupe wana uwezekano zaidi wa kuaga dunia kutokana na COVID-19 kwa sababu mbalimbali, kutoka muundo wa mbari katika jamii na mfumo wa huduma ya afya hadi maelekezo hadi shinikizo la damu, unene sana na kisukari. Ndiyo kwa maana ni muhimu hata zaidi kuulinda mduara wako! Kaa nyumbani na uokeo maisha.

Sote tunapenda kukusanyika katika familia zetu, lakini watu wengi walioambukizwa hawaonyeshi dalili. Hawana ishara wala dalili za kuwa wagonjwa. Kwa hivyo wakati mtu huyo anaenda kumtembelea bibi/nyanya ambaye ana kisukari, ugonjwa huo unamwua.

Ni jukumu letu kuulinda mduara wetu. Sote tunashirikiana katika janga hili. Kaa nyumbani ili kila kitu tunachokipenda na kukithamini sana kilindwe na kuwa salama tutakapoliangamiza janga hili. Sote tunaweza kuwa salama. Tumepitia nyakati ngumu awali na tutalishinda janga hili.

[RASILIMALI]

HUKO PEKE YAKO! JAMII YETU INA RASILIMALI ZA KUKUSAIDIA.

ULINDE MDUARA WAKO

[KAA NYUMBANI NA UOKOE MAISHA]

Rochester, NY